Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] kuongeza wadhamini katika Ligi Kuu Bara baada ya Benki ya Diamond Trust [DTB] kuonyesha nia ya kuingia mkataba na Shirikisho hilo juu ya udhamini wa Ligi Kuu ya Vodacom. Hafla ya makabidhiano hayo itafanyika kesho Jumatatu saa 4.30 asubuhi kwenye Hoteli ya Serena Dar es Salaam, ambapo pande zote mbili watasaini mkataba huo.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] inawakaribisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali kuhudhulia hafla hiyo itakayofanyika hotelini hapo.
No comments:
Post a Comment