Sio jambo la kushangaza kutoka kwa Lionel Messi kuwa kinara wa mabao kwenye michuano hii inatokana na umahiri wake na umakini hawapo uwanjani kwa kufunga au kuwatengenezea wenzie mabao ili tu timu yao iweze kuibuka na ushindi.
Mabao yake mawili aliyofunga dhidi ya Osasuna yaliweza kumfanya kuwa mbele ya Cristiano Ronaldo mwenye mabao 38 na mchezaji mwenzake ndani ya Barcelona Luis Suarez mwenye mabao 46 , huku akifiksha mabao 50 kwa msimu huu kwenye michuano yote na huenda idadi ikaongezeka kutokana na kuwa na mechi mbili zaidi ndani ya mwaka huu.
No comments:
Post a Comment