 |
Mhkitaryan akishangilia goli lake. |
Henrikh Mhkitaryan alikuwa na mwazno wa kusuasua United, lakini kocha Jose Mourniho akuacha kumuamini ambapo kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo anavyoonyesha umahili wake kwa waliokuwa wanambeza, leo ameweza kuifanya United kubakiza poniti tatu nyumbani dhidi ya Tottenham Houtspurs kwenye mchezo wa EPL.
Lakini Muarmenia huyo alitolewa nje akiwa kwenye machela baada ya kuchezewa rafu na Danny Rose.
 |
Mhkitarayan akitolewa nje baada ya kuchezewa rafu na Dnny Rose. |
No comments:
Post a Comment