Thursday, October 20, 2016

MNYAMA HAKAMATIKI AENDELEZA REKODI.


Klabu ya Simba imeendelea kuendeleza rekodi yake ya kutopoteza mechi kwa msimu huu kuanza baada ya hii leo pia kuendeleza ubabe wake kwa timu ya Mbao FC kwa kuifunga bao 1-0 kwenye uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam. Simba walipata bao lao ndani ya dakika ya 86 kupitia Muzamiru aliemalizia krosi ya Bukungu.

Kwa matokeo hayo Simba inazidi kujikita kileleni ikiwa na pointi 26 kwa michezo yake 10 iliyocheza.

No comments:

Post a Comment