Licha ya kuwa na msimu wa kusuasua wa 2016/2017 mchezaji wa kimataifa wa Columbia James Rodriguez bado ameonekana kuwa msaada mkubwa kwa Real Madrid kwenye utoaji pasi za kumalizia golini.
James ambaye amekuwa na nafasi ndogo ya kuanza chini ya kocha Zidane na kusumbuliwa na majeruhi ,Jumatano hii alionyesha hilo akitokea benchi na kuthibitisha pale alipomtengenezea nafasi ya bao Karim Benzema dhidi ya Borrusia Dortmund kwenye Champions League.
No comments:
Post a Comment