![]() |
Gareth Balle na Cristiano Ronaldo wakiwa mazoezini chini ya kocha wao Zidane |
Kueleka ratiba ya Villarreal na Las Palmas inayowasubili Real Madrid katika siku za mbeleni imewabidi kuwaanzisha mazoezi wachezaji wake ambao hawakuwepo kwenye mechi dhidi ya Espanyol wikiendi iliyopita Cristiano Ronaldo na Gareth Bale.
Bale alipata majeraha kwenye mechi ya Champions League dhidi ya Sporting CP na Ronaldo alikuwa anasumbuliwa na mafua.
No comments:
Post a Comment