Thursday, October 13, 2016

BAO MATATA KUTOKA KWA RONALDO MIAKA 20 ILIYOPITA


Kabla ya CR7 kulikuwa na Ronaldo mwenyewe Ronaldo Luiz Nazario De Lima aliekuwa akisumbua mabeki duniani, alikuwa na uwezo wa nguvu, kasi na ujuzi wa aina ya kipekee.

 

No comments:

Post a Comment