Nyota wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Hispania Andre Iniesta ametimiza miaka 20 toka awe klabuni hapo, huku akipata mafanikio ndani ya klabu hiyo akishinda mataji 8 ya LaLiga, 4 ya Klabu ya Mabingwa, 3 ya Klabu Bingwa Duniani na 1 la Kombe la Dunia.
Alijiunga na Albacete mwaka 1996 akiwa na umri wa miaka 12,ilikuwa ni ngumu kukabiliana na hali ya kipindi hiko ambapo leo hii ni kiungo mahiri wa kati kwa timu hiyo. Akitokea kijiji cha Fuentealbllia na kucheza mbele ya umati mkubwa wa mashabiki ambao idadi yake ni mara 50 ya mji anaotokea.
Mnamo Oktoba 06, 1996 Iniesta alivalishwa jezi ya Blaugrana kwa mara ya kwanza na kupewa cheo cha unahodha.
No comments:
Post a Comment