Thursday, October 6, 2016

WAYNE WADE ALIFIKIRIA KUJIUNGA CAVALIERS.

Le Bron na Wade kwenye moja ya mechi zao timu zao zilipokutana

Cavaliers Heat BasketballCavaliers Heat BasketballCavaliers Heat Basketball
Kabla hajasaini dili la $47 million la Chicago Bulls, kuna ripoti ilisema kwamba Dwayne Wade alikuwa na mawazo ya kujiunga na mchezaji mwenzake wa zamani wa Miami Heat Lebron James kwenye timu ya Cleveland Cavaliers na kuongeza uwezekano wake wa kushinda pete nyingine ya ubingwa.
Wade ambaye alifanya chaguzi ya haraka na yenye faida kubwa kwake aliiambia Slam Online aliyoyafanya, kwa kweli kufikiria kuhama sehemu kipindi ambacho huko huru na hatimaye kuamua kwamba hatopata nafasi.  

''Kwangu mimi ni rahisi, nilipata dili la $41 kwa Miami na $47 kwa Chicago,'' Wade alisema kwamba haikuwa kwa sababu ya hela bali mawazo yangu pia yalikuwa Cleveland sababu nitapata nafasi huko. Huwezi kufanya kitu kwa sababu, ningeweza kushinda pete huko, nina pete tatu, sina haja ya kwenda huko kwa ajili ya pete. Hiki ndicho nilichoitaji kukifanya.'' 

Wade ambaye alikuwa kwa misimu 13 Miami, amejiunga  na Chicago Bulls kwa mkataba wa miaka miwili na nusu kwenye mwezi wa saba, ataungana na James kwenye mchezo utakao wakutanisha Cavaliers na Chicago December 2 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment