Saturday, October 15, 2016

MESSI ARUDI KWA KISHINDO LALIGA


Mshambuliaji nyota wa Barcelona Lionel Messi ameweza kurejea dimbani baada ya kuwa nje kutokana na majeruhi aliyopata mwezi Septemba, ujio wake umekuwa na neema kwa Barca baada ya kuifunga Deportivo la Coruna 4-0 Nou Camp.

No comments:

Post a Comment