Hapo jana kocha mkuu wa Uganda Cranes Milutin Sredojevic ''Micho'' ametaja kikosi kitakachoivaa Togo kwenye mechi yao ya kimataifa ya kirafiki siku ya Jumanne ijayo Oktoba 11,2016 kwenye uwanja wa Kegue, Lome.
Kikosi kitakachoanza ni-
Salim Jamal (GK), Nicholas Wadada, Godfrey Walusimbi, Murshid Juuko, Isaac Isinde, Denis Iguma, Hassan Wasswa, Khalid Aucho, Kizito Luwagga, Faruku Miya, Geoffrey Massa (Capt).
Subs: Benjamin Ochan (GK), Kizito Geoffrey, Kiiza Hamis, Santamun Yunus, Joseph Ochaya, Mawejje Tony, Oloya Moses.
No comments:
Post a Comment