![]() | |
| Neyamar akitazamwa jeraha lake alilolipata kutoka kwa mchezaji wa Bolivia. |
Duk aliyasema hayo baada ya kumpa jeraha la kichwani nyota huyo wa Brazil wakati wanagombania mpira kwenye mechi ambayo Brazil ilishinda 5-0.
![]() | |
| Duk na Neymar wakigombea mpira kwenye mechi hiyo. |
''Soka ni mawasiliano katika michezo, nilijaribu kuchukua mpira na tayali nilishamsoma harakati zake za kutaka kuuchukua mpira nyuma yangu , basi na mimi nikampelekea mkono wangu kwake.'' Duk aliwaambia waandishi wa habari.


No comments:
Post a Comment