Shirikisho la Mpira Duniani (FIFA) limeendelea na harakati zake za tuzo zake ambapo wametoa idadi ya makocha kumi kuwania nafasi ya kocha bora wa FIFA. Huku Ligi Kuu ya Hispania ikiongozwa na makocha Zinedine Zidane, Jose Enrique na Diego Simieno.
Huku kocha wa timu ya taifa ya Wales Chris Coleman akiwemo kwenye idadi hiyo ambapo aliwezesha taifa hilo kufanya vizuri kwenye Euro 2016, pamoja na kocha wa mabingwa wa Uingereza Leicester City Claudio Ranieri naye akiwepo kwenye idadi hiyo.Majina ya makocha wanaowania tuzo hiyo.
No comments:
Post a Comment