![]() | |||||
| Ozil akiifungia Arsenal bao la tatu dhidi ya Chelsea |
Alikuwa Alex Sanchez alieanza kupeleka maumivu kwa Chelsea kwa bao lake la dakika ya 11 huku ndani ya dakika mbili mbele Theo Walcot anafunga bao la pili ndani ya dakika ya 14 ya mchezo na Mesut Ozil akikamilisha hesabu ya mabao ndani ya dakika ya 40 kabla ya kwenda mapumziko.
Wiki hii kocha Mkuu wa timu hiyo Arsene Wenger anatimiza miaka 20 toka awe kocha wa washika bunduki hao wa London.

No comments:
Post a Comment