Thursday, September 22, 2016

DROO KOMBE LA LIGI YAZIKUTANISHA UNITED NA CITY ''MANCHESTER DERBY''



Baada ya raundi ya tatu ya Kombe la Ligi kukamilika na droo kwa timu 16 bora kufanyika na kuzikutanisha tena mahasimu wawili wa jiji la Manchester, Man United na Man City kwenye hatua ya nne ya Kombe hilo huku mchezo huo utafanyika OldTraford. Man United wataikaribisha City huku wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu.  
  
Na michezo yote ya raundi ya nne inatarajiwa kuchezwa Oktoba 24 na listi kamili za timu hizo zilizoingia 16 bora ni hizo hapo chini- 
 
  • West Ham vs Chelsea
  • Man Utd vs Man City
  • Arsenal vs Reading
  • Liverpool vs Tottenham
  • Bristol City vs Hull
  • Leeds vs Norwich
  • Newcastle vs Preston
  • Southampton vs Sunderland

No comments:

Post a Comment