Wednesday, September 21, 2016
FABREGAS ADHIHIRISHA UBORA WAKE CHELSEA IKISHINDA 4-2 KUTOKA NYUMA.
Kiungo wa Chelsea Cesc Fabregas amedhihirisha ubora wake kwa kocha wa timu hiyo Antonio Conte baada ya jana kuisaidia timu yake dakika za lala salama kutoka nyuma na kuibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya Leicester City kwenye Kombe la Ligi.
Fabregas ambaye ana wakati mgumu klabuni hapo toka kiwe chini ya Conte, kwani kocha huyo amekuwa hampi nafasi ya kumuanzisha wala kumuweka katika mipango yake ya kuanza kama anavyofanya kwa N'Golo Kante, Oscar na Matic ambao ndio wana uhakika wa namba kikosi cha kwanza chini ya Conte.
Kiungo huyo katika mahojiano yake na Sky Sport alise kuwa, ''nina furaha kuanza na kuweza kuisadia timu.''
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment