Sunday, September 11, 2016

IBRAHIMOVIC APOTEZA MACHUNGU YA''DERBY'' KWENYE NGUMI


Kupoteza mechi dhidi ya mahasimu wao Man City hapo jana hakukumfanya Zlatan Ibrahimovic kuwa sawa na kujichanganya na watu kumalizia siku yake. Kwani baada ya mpambano huo usiku alienda kutazama pambano la ngumi kwenye ukumbi wa O2 Arena kati ya Kell Brook na Gennady Golovkin. Huku akiwa mchangamfu kwa watu aliokuwa nao karibu kiasi ata cha kupiga nao self.

 
                      akipozi kwa ajili ya picha na shabiki
Hii si mara ya kwanza kwa Ibrahimovic kwenda kuangalia mapambano ya ngumi, kwani aliwahi kwenda Las Vegas kwa ajili ya UFC 200 mwanzoni mwa majira. 
 
 

No comments:

Post a Comment