Matokeo hayo yanawafanya K'njaro Queens kucheza Nusu Fainali na wenyeji Uganda. Na Kenya na Ethiopia zikikutana kwenye Nusu Fainali nyingine, na jumatatu itakuwa mapumziko ya michuano hiyo kabla ya Fainali yenyewe itakayofanyika siku ya Jumanne Septemba 20 na itatanguliwa na mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu.
Inakuwa Fainali ya kwanza CECAFA kwa wanawake ambayo itachezwa Sepetemba 20.
No comments:
Post a Comment