Sunday, September 18, 2016
MANCHESTER UNITED YAPOTEZA TENA MCHEZO WA TATU
Timu ya Man United imeendelea kuandamwa na jinamizi la kupoteza mechi baada ya hii leo tena kupoteza dhidi ya Watford kwa 3-1..
Watford walikuwa wakwanza kuliona goli la United dakika ya 34 kupitia mchezaji wake Ettiene Capoue lakini Rashford alisawazisha ndani ya dakika ya 62 lakini Zuniga alifunga tena dakika ya 83 hukuTroy Deeney alikamilisha maumivu kwa vijana wa Mourniho katika uwanja wa Vicarage Road ndani ya dakika ya 90 alifunga goli lingine.
Na kufanya kuwa mfululizo wa vipigo kwa timu hiyo toka ilipofungwa na mahasimu wao Man City wikiendi iliyopita.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment