Saturday, September 10, 2016

RONALDO ARUDI NA MABAO YAKE MADRID IKIUA 5-2


Cristiano Ronaldo amethibitisha ubora wake baada ya leo hii kuifungia timu yake moja ya mabao taliyoipa ushindi dhidi ya Osasuna katika uwanja wa Santiago Bernabeu.  

Huu ni mchezo wa kwanza kwa Ronaldo toka aumie katika fainali za Euro mwaka huu. Nyota huyo wa Ureno amejibu maswali yote juu ya waliokuwa na wasiwasi na kurejea kwake uwanjani, kwani ndie aliefungua mlango wa magoli kwa Los Blancos huku magoli mengine yakifungwa na Pepe, Modric ,Danilo na Ramos. 

 

No comments:

Post a Comment