Thursday, September 8, 2016

TIGER WOODS KUREJEA RASMI OKTOBA






Ikiwa umepita mwaka mmoja toka mbabe wa mchezo wa golf, Tiger woods kukaa nj'e kutokana na kuwa majeruhi. Nyota huyo amethibitisha kurudi mchezoni mwezi ujao wa Oktoba kwenye mchuano ya Safeway Open yatakayoanza kuanzia Oktoba 13 mpaka 16 Calfornia. Nyota huyo ambaye alikuwa namba moja kwa ubora duniani sasa hivi yupo kwenye nafasi ya 711. 
    

Huku akihakikisha kufanya vizuri tena kwenye mchezo huo, ambao alisubiri muda mrefu kurudi tena dimbani.  

     

 
  

 

No comments:

Post a Comment