![]() |
Kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda |
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Ethiopia wamefanikiwa kuchukua ushindi wa tatu mbele ya wenyeji Uganda kwenye Michuano ya Wanawake ya CECAFA, kwa kuwafunga 4-1.
Wachezaji wa Ethiopia wakishangilia moja ya magoli yao |
Mpaka timu hizo zinakwenda mapumziko Ethiopia walikuwa wakiongoza 2-1, na kipindi cha pili Ethiopia walifuta matumaini kwa wenyeji hao kuambulia nafasi ya tatu katika michuano hiyo inayofanyika nchini kwao Uganda kwa kuongeza magoli mawili ambayo yalidumu mpaka mwisho wa dakika 90.
No comments:
Post a Comment