Ingawa winga wa Real Madrid alichukua tuzo ya mchezaji bora wa ulaya (Best Player in Europe) wiki zilizopita. Mchezaji huyo ana maoni yake juu ya wachezaji hao.
'' Ronaldo ni mchezaji wa muda wake, alieleza kwenye mahojiano na Cadena SER,'' tatizo ni kwamba kuna mwingine bora zaidi katika historia. Ronaldo ni mtu wa kale, ikilinganishwa na Messi, hivyo mimi na kwa mtu yeyote ambaye anapenda mpira wa miguu, hakuna kulinganisha.
Aliongeza zaidi kuwa ''Messi atakuwa namba moja mpaka atakapotaka kuacha yeye. Yeye ni bora kwa kila mtu na ni bora katika dunia, labda kama wewe ni Real Madrid.''
Pia alizungumzia mechi ya mahasimu wa jijini Manchester England, Mhispania huyo alimchagua kocha wake wa zamani wa ''Blaugrana'' kwenye kuelezea kati ya Mourniho na Guardiola, alisema ni mechi nzuri na ngumu kwa kila upande kwani wote ni makocha wazuri. Lakini, sidhani kama aina ya uchezaji wa Mourniho inafanana na sifa zangu lakini kocha mzuri na alitufundisha mengi zaidi, lakini Guadiola anaamini katika njia za Barca na kisha akawa kocha Mkuu hivyo abadiliki na aina ya ufundishaji wake na ujuzi, ingawa Pep in wapili na hakuna.
No comments:
Post a Comment