RACHAEL JERREMY BLOGSPOT
SPORTS FOR ALL GENERATION
Wednesday, October 26, 2016
CLEVELAND CAVALIERS WAPOKEA PETE YA UBINGWA.
Mabingwa wa NBA msimu uliopita Cleveland Cavaliers hapo jana Jumanne walikabidhiwa pete ya ubingwa kwa ajili ya kuanza msimu mpya wa NBA. Ilikuwa sherehe ya kawaida, lakini watu watakuwa wamesahau kuwa Warriors waliweza kuongoza fainali za NBA 3-1.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment