Baada ya droo ya makundi kupangwa inaonesha kuwa fainali hizo zitakuwa na msisimko baada ya timu ya Ivory Coast kuwa kundi moja na kocha wake wa zamani Herve Renard ambaye sasa hivi kocha huyo anaifundisha Morocco.
Renard aliiongoza Ivory Coast katika fainali za
kombe hilo mwaka 2015 na sasa anakwenda tena Gabon akiwa na kikosi cha
nchi tofauti.
Gabon watafungua mashindano hayo Januari 14, huku mchezo wa fainali ukipangwa kuwa Februari 5.
Muonekano wa timu na makundi AFCON 2017
KUNDI AGabon
Burkina Faso
Cameroon
Guinea Bissau
KUNDI B
AlgeriaTunisia
Senegal
Zimbabwe
KUNDI C
Ivory CoastDR Kongo
Morocco
Togo
GROUP D
GhanaMali
Misri
Uganda

No comments:
Post a Comment