 |
Rafinha akishangilia bao lake dhidi ya Granada. |
Barcelona iliweza kubakiza pointi tatu nyumbani kupitia bao la kipindi cha pili la dakika ya 48 kutoka kwa mchezaji wao Rafinha amabaye aliweza kuinusuru timu yakke kutoa sare kwenye Uwanja wa nyumbani wa Nou Camp. Granada ambayo katika mechi zake 22 zilizocheza Nou Camp imeweza kupoteza mechi zote hizo mbele ya Barcelona na kushindwa kufunga kwenye mechi zao nne za mwishoni.
No comments:
Post a Comment