Katika kitabu hicho mkongwe huyo ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa Barca na baadaye kuwa kocha wa timu hiyo aliwataja wachezaji ambao amewaelezea kuwa walikuwa muhimu kwenye soka la Hispania, pamoja na aliye kuwa mchezaji wa Real Madrid Alfredo Di Stefano na Pep Guardiola ambaye aliwahi kuwa kocha wa Barcelona ambaye pia alifundishwa na mkongwe huyo Camp Nou 1990-1996.
Pia alimtaja Mholanzi mwenzake aliowahi kuwa nae timu moja huku akiwajumuisha Diego Maradona, Pelle, Garrincha, na Franz Benckebauer huku akisema safu kamili ya ushambuliaji.
Orodha yake kamili ni-
Lev Yashin; Carlos Alberto, Beckenbauer, Pep Guardiola, Ruud Krol; Alfredo di Stéfano, Bobby Charlton, Garrincha; Maradona, Pelé, Piet Keizer.
No comments:
Post a Comment