Golden State Wrriors wamepatwa na mshangao baada ya kukubali kipigo cha 117-97 kutoka kwa Los Angeles Lakers hapo jana kwenye muendelezo wa msimu mpya huku Antonio Spurs wakianza vizuri msimu mpya.
Warriors ambao kuelekea mchezo huo waliwafunga Oklahoma City Thunder. Huku Spurs wakiwa hawana tatizo kwenye mchezo wao dhidi ya Utah Jazz huku nyota wao Kawhi Leonard akiwaongoza kwa pointi 100-86 za ushindi.
Kwa upande wa Dallas Mavericks na New Orleans Pelicans nao waliweza kushinda kwenye michezo yao ya muendelezo mpya wa msimu.
No comments:
Post a Comment