Sunday, November 6, 2016

SIMBA WAPUNGUZWA KASI VPL, YANGA IKIPETA MBEYA.


Klabu ya Simba SC imewezwa kupunguzwa kasi yake na timu ya African Lyon baada ya kukubali bao 1-0 kutoka kwa timu hiyo kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru, ambapo bao la African Lyon lilifungwa dakika za nyongeza baada ya mabeki wa Simba kuchanganyana.

Kipigo hicho kinakuwa cha kwanza kwa Simba kwa msimu huu baada ya ktopoteza mechi hata moja kuanza kwa msimu huu.

 
Huku mtani wake Yanga akitoka kifua mbele kwa bao lililofungwa na Saimon Msuva dakika ya 74 dhidi ya Prisons ya Mkoani Mbeya  kwenye mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine.

No comments:

Post a Comment