Saturday, November 19, 2016

WENGER NA MOURINHO MECHI NGUMU PREMIER LEAGUE.

Wenger na Mourinho katika moja ya mechi zao zilizopita.
Leo katika Ligi Kuu ya Uingereza Premer League inawakutanisha makocha wawili wasioelewana kwa muda mrefu kwenye mchezo baina ya Manchester United dhidi ya Arsenal. Macho yote yako kwa makocha wa timu hizo ambao ni mahasimu wa waziwazi kiasi cha kuwahi kukunjana uwanjani kipindi cha nyuma.
Arsenal ni wageni kwa Man U watashuka dimbani wakiwa na mwanzo mzuri kwa msimu huu toka wauanze tofauti na Man U ambao wanaonekana kusuakusua mwanzo wa msimu huu.

Kwa mara ya kwanza Wenger akiwa imara na kikosi chake akimvaa kocha mtata Mourinho kiasi cha watu wengi wakiona uenda leo The Gunners wakaibuka na ushindi OldTraffold.


No comments:

Post a Comment