Sunday, December 11, 2016

MESSI AMTAMBIA RONALDO MBELE YA MABAO 12 DHIDI YAKE.

Sio jambo la kushangaza kutoka kwa Lionel Messi kuwa kinara wa mabao kwenye michuano hii inatokana na umahiri wake na umakini hawapo uwanjani kwa kufunga au kuwatengenezea wenzie mabao ili tu timu yao iweze kuibuka na ushindi.

RED DEVILS WAIKALISHA TOTTENHAM OLD TRAFFORD

Mhkitaryan akishangilia goli lake.

Henrikh Mhkitaryan alikuwa na mwazno wa kusuasua United, lakini kocha Jose Mourniho akuacha kumuamini ambapo kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo anavyoonyesha umahili wake kwa waliokuwa wanambeza, leo ameweza kuifanya United kubakiza poniti tatu nyumbani dhidi ya Tottenham Houtspurs kwenye mchezo wa EPL.

Thursday, December 8, 2016

RODRIGUEZ KINARA WA PASI

                                 


Licha ya kuwa na msimu wa kusuasua wa 2016/2017 mchezaji wa kimataifa wa Columbia James Rodriguez bado ameonekana kuwa msaada mkubwa kwa Real Madrid kwenye utoaji pasi za kumalizia golini.

Saturday, December 3, 2016

MACHO YOTE LEO LALIGA '''EL CLASICO''


Leo Ligi Kuu ya Hispania ijulikanayo kama LaLiga itasimamisha dunia kwa mechi kali na ya kusisimua baina ya miamba miwili mahasimu kwenye ligi hiyo kati ya Barcelona na Real Madrid kwenye mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa Nou Camp Bracelona. Mchezo huo ambao mashabiki kutoka nchini Uingereza hawataweza kuuona kutokana na tofauti ya muda wa mchezo huo.

Monday, November 21, 2016

MURRAY ATHIBITISHA UBORA WAKE WA DUNIA.

Andy Murray akishangilia Ubingwa wa ATP 2016.
Muingereza Andy Murray amethibitisha ubora wake wa kuwa mchezaji namba bora duniani wa mchezo wa tenisi baada ya kumshinda Novak Djokovic na kufanikiwa kunyakua tuzo ya kwanza ya fainali za Dunia za ATP 2016.

Saturday, November 19, 2016

WENGER NA MOURINHO MECHI NGUMU PREMIER LEAGUE.

Wenger na Mourinho katika moja ya mechi zao zilizopita.
Leo katika Ligi Kuu ya Uingereza Premer League inawakutanisha makocha wawili wasioelewana kwa muda mrefu kwenye mchezo baina ya Manchester United dhidi ya Arsenal. Macho yote yako kwa makocha wa timu hizo ambao ni mahasimu wa waziwazi kiasi cha kuwahi kukunjana uwanjani kipindi cha nyuma.

Thursday, November 10, 2016

NAJUTA KUMCHEZESHA RONALDO DHIDI YA MANCHESTER UNITED-SANTOS

Cristiano Ronaldo 2003 alipokutana na Man U akiwa Sporting CP.
Aliyekuwa kocha wa Sporting CP Fernando Santos anatamani kama angerudisha muda nyuma basi asingemchezesha Cristiano Ronldo kwenye mechi iliyowakutanisha na Manchester United, mechi ambayo imeweza kumpa maisha mazuri nyota huyo wa Kireno kwa sasa.

HARDEN AISAIDIA ROCKETS KUPETA MBELE YA SPURS NBA.


Hekaheka ya msimu mpya wa NBA umeendelea hapo jana na mchezaji James Harden alikuwa shujaa kwa timu yake ya Houston Rockets kwenye ushindi dhidi ya San Antonio Spurs kwenye ligi hiyo ya kikapu maarufu nchini Marekani, huku Golden State Warriors wakishinda pia.

SOKA LINAHITAJI WATU KAMA MOURINHO-INFANTINO

Soka linaweza kuwa baya kama kutakuwepo hamna watu waongeaji  kama Mourinho kwa mujibu wa rais wa FiFa Giani Infantino. Mreno huyo ambaye kwa sasa anainoa klabu ya Manchester United mara nyingi amekuwa akiingia kwenye mikwaruzano na maoni chanya kwenye kazi yake na makocha wa timu pinzani au waamuzi.

Wednesday, November 9, 2016

HATUMUOGOPI MESSI-ALVES


Beki wa timu ya Brazil Dani Alves amesisitiza kwamba timu yake haimuogopi Lionel Messi pale watakapokutana na argentina kwenye mechi ya kuwania kufuzu kombe la Dunia. Mahasimu hao watakutana Alhamisi hii Belo Horizonte kwenye nafasi ya CONMEBOL.

CECH AIPA UBINGWA WA PREMIER LEAGUE ARSENAL.


Golikipa wa Arsenal Peter Cech anaamini timu yake itaweza kufanya vizuri kwenye mbio za kuwania taji la Premier League na kushinda taji hilo kwa msimu huu. Arsenal ambao wako nafasi ya nne kimsimamo wakiruhusu kufungwa mara moja tu kwa msimu huu.

VPL MZUNGUKO WA KWANZA KUFIKIA TAMATI KESHO.


Mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara unafikia tamati leo na kesho. Simba leo inashuka dimbani kwenye Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya kucheza Prisons huku Yanga kesho akicheza na Ruvu Shooting.
Sababu ya kuvuta nyuma michezo hiyo ni kutoa nafasi ya maandalizi ya kambi ya timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayotarajiwa kusafiri Ijumaa wiki hii kwenda Harare Zimbabwe kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa unaotarajiwa kufanyika Novemba 13, mwaka huu